1 00:00:16,335 --> 00:00:17,419 Vipi? 2 00:00:17,660 --> 00:00:19,484 Anzia jikoni. Sijatafuta huko bado. 3 00:00:19,580 --> 00:00:23,202 Tutatafuta kwa kila chumba, tuboronge kila sehemu ikibidi. 4 00:00:23,930 --> 00:00:26,236 Warusi wanadhani ufunguo uko katika Villa. 5 00:00:26,531 --> 00:00:29,902 Tunahitaji kuupata kabla waje kuutafuta, 6 00:00:30,229 --> 00:00:31,861 tuwape, 7 00:00:32,188 --> 00:00:33,762 na niondoke hapa. 8 00:00:33,762 --> 00:00:34,972 Na familia? 9 00:00:35,212 --> 00:00:36,793 Umewaambia wako hatarini? 10 00:00:38,170 --> 00:00:40,080 Sina haja na hii familia. 11 00:01:38,263 --> 00:01:41,370 (RIVIERA) 12 00:01:41,548 --> 00:01:42,793 Patrice? 13 00:01:43,831 --> 00:01:46,560 Hukuniambia ulipopiga simu, lakini Adam alifanya nini? 14 00:01:46,562 --> 00:01:47,757 Si muhimu. 15 00:01:48,231 --> 00:01:49,509 Patrice! 16 00:01:49,945 --> 00:01:51,124 Bila shaka ni muhimu. 17 00:01:51,280 --> 00:01:53,390 Naweza kujilinda. 18 00:01:55,003 --> 00:01:58,051 Bi. Clios, nikusaidie vipi? 19 00:01:58,092 --> 00:02:01,061 Nataka uwapitishie wafanyikazi wengine ujumbe. 20 00:02:01,061 --> 00:02:02,990 Bila shaka, nitafanya chochote utakacho. 21 00:02:03,044 --> 00:02:04,700 Ujumbe ni kwamba, 22 00:02:04,931 --> 00:02:07,065 nyote mmepigwa kalamu. 23 00:02:07,150 --> 00:02:10,281 Mtalipwa vizuri lakini lazima mtoke hapa kufikia asubuhi. 24 00:02:10,737 --> 00:02:13,409 Lakini Bi. Clios nani atailinda nyumba na... 25 00:02:13,500 --> 00:02:15,000 Hatutafanya mjadala kuhusu hilo. 26 00:02:15,050 --> 00:02:16,147 Asante. 27 00:02:18,940 --> 00:02:20,364 -Ni kwa usalama wao. -Georgie. 28 00:02:20,460 --> 00:02:22,560 -Unahitaji... -Sihitaji yeyote. 29 00:02:22,560 --> 00:02:23,683 Nafanya nini hapa basi? 30 00:02:23,781 --> 00:02:24,687 Wewe si muhimu. 31 00:02:24,780 --> 00:02:27,029 Hilo linapendeza sana. 32 00:02:27,865 --> 00:02:30,851 -Hilo ni tabasamu au... -Hapana, si tabasamu. 33 00:02:31,433 --> 00:02:34,151 Nitakutabasamia tukipata huo ufunguo. 34 00:03:10,356 --> 00:03:11,610 (Hujambo?) 35 00:03:12,741 --> 00:03:14,020 (Mfunue.) 36 00:03:27,989 --> 00:03:29,267 (Yuko tayari?) 37 00:03:29,360 --> 00:03:31,212 (Huyu ni Delphine kutoka kituo cha urekebishaji tabia.) 38 00:03:31,310 --> 00:03:33,400 (Kumekuwa na tukio, Fatima amevamiwa.) 39 00:03:33,468 --> 00:03:34,922 (Unazungumzia nini? Na nani) 40 00:03:34,991 --> 00:03:36,023 (Niruhusu niongee naye.) 41 00:03:36,121 --> 00:03:37,980 (Nasikitika hutaweza kuongea naye. Ametoroka.) 42 00:03:38,190 --> 00:03:39,396 (Ametoroka na mgonjwa mwingine.) 43 00:03:39,491 --> 00:03:40,530 (Ameenda?) 44 00:03:40,531 --> 00:03:43,614 (Tumeangalia rekodi ya CCTV na inaonekana alivamiwa,) 45 00:03:43,710 --> 00:03:45,040 (lakini akaweza kutoroka.) 46 00:03:45,040 --> 00:03:46,276 (Pole sana.) 47 00:03:54,475 --> 00:03:56,402 Tunaweza kupata taksi hapa? 48 00:03:56,402 --> 00:03:57,275 Christos, sikiliza. 49 00:03:57,370 --> 00:03:59,414 Bado nahisi itakuwa vyema nikienda mwenyewe. 50 00:04:00,442 --> 00:04:01,285 Sawa. 51 00:04:01,381 --> 00:04:04,626 Hapana. Sikiliza, itakuwa salama tukifanya hivyo. 52 00:04:04,722 --> 00:04:06,183 Wananifuata mimi. 53 00:04:06,320 --> 00:04:08,441 Utaenda wapi? 54 00:04:10,250 --> 00:04:11,770 Subiri Fatima, sikiliza. 55 00:04:11,770 --> 00:04:14,121 Acha tu. Nitakuwa sawa. 56 00:04:14,121 --> 00:04:16,880 Hapana. Najua utakuwa sawa. Mimi sitakuwa. 57 00:04:17,350 --> 00:04:18,283 Unajua, 58 00:04:18,740 --> 00:04:21,392 huwa sifikiri kutumia dawa za kulevya nikiwa nawe. 59 00:04:24,172 --> 00:04:26,702 -Kwa hivyo mimi ni mfadhili wako sasa? -Ndiyo. 60 00:04:26,778 --> 00:04:32,503 Na kuniacha ni kinyume na sheria zote za urekebishaji tabia. 61 00:04:32,503 --> 00:04:33,751 Ni vibaya sana. 62 00:04:39,418 --> 00:04:40,564 Usiniache. 63 00:04:41,568 --> 00:04:42,584 Tafadhali. 64 00:04:44,075 --> 00:04:45,656 -Nitafikiri kuhusu hilo. -Sawa. 65 00:04:48,677 --> 00:04:49,702 Inabidi ni... 66 00:05:08,655 --> 00:05:11,590 Unastahili kulipa yuro 85. 67 00:06:10,150 --> 00:06:12,384 Ni kama kuna mtu anayetaka kufunguliwa. 68 00:06:13,318 --> 00:06:14,564 Ni rafiki au adui? 69 00:06:15,107 --> 00:06:17,202 Kuna tofauti kati ya rafiki na adui siku hizi? 70 00:06:27,990 --> 00:06:29,111 Nikusaidieje? 71 00:06:29,643 --> 00:06:31,409 Christos anaishi hapa? 72 00:06:48,605 --> 00:06:50,356 Unasema kuna mtu alimchukua? 73 00:06:50,451 --> 00:06:51,550 Ndiyo. 74 00:06:53,580 --> 00:06:55,206 Ni wewe, sivyo? 75 00:06:57,859 --> 00:06:59,636 Ni wewe mwanangu alisema kuwa 76 00:07:00,445 --> 00:07:01,520 unamsaidia. 77 00:07:03,723 --> 00:07:06,103 Hili limetokea kwa sababu yako? 78 00:07:06,428 --> 00:07:08,899 Nadhani najua aliyemchukua. 79 00:07:09,693 --> 00:07:10,782 Nini? 80 00:07:13,647 --> 00:07:15,738 Nini kinaendelea? 81 00:07:17,738 --> 00:07:20,278 Ndicho hiki kiamsha kinywa. 82 00:07:21,280 --> 00:07:23,340 Nakuahidi kwamba kitakufaa. 83 00:07:23,340 --> 00:07:24,741 Sihitaji chochote. 84 00:07:26,320 --> 00:07:28,088 Kunywa. Kitakufanya uhisi nafuu. 85 00:07:28,648 --> 00:07:31,554 Unawezaje kuwa mjinga kiasi hiki? 86 00:07:31,651 --> 00:07:33,037 Sikulisababisha! 87 00:07:33,130 --> 00:07:35,376 Ukitaka wa kumlaumu, mlaumu mumeo wa awali. 88 00:07:35,470 --> 00:07:36,847 Unamjua mwanamume aliyekuoa. 89 00:07:36,940 --> 00:07:39,424 Kwa hivyo hukujua, ni mjinga mwingine tu? 90 00:07:40,260 --> 00:07:43,321 Ulipogundua kuhusu huo ufunguo, ungeniambia. 91 00:07:43,321 --> 00:07:45,288 Ili ufanye nini, upigwe risasi usoni? 92 00:07:45,383 --> 00:07:47,990 Nilikuwa najaribu kukusetiri. Nyote. 93 00:07:47,993 --> 00:07:50,542 Ni kazi yangu kuisetiri familia yangu. 94 00:07:51,295 --> 00:07:53,113 Waliwatishia wanangu? 95 00:07:53,380 --> 00:07:54,315 Ndiyo. 96 00:07:55,050 --> 00:07:56,270 Ndiyo waliwatishia. 97 00:08:02,265 --> 00:08:04,339 Kubisha ni jambo la kistaarabu. 98 00:08:04,780 --> 00:08:06,339 Nini kinafanyika? 99 00:08:08,390 --> 00:08:10,194 Sitaki kuwa na yeyote. 100 00:08:13,250 --> 00:08:14,261 Hali ni ngumu. 101 00:08:18,890 --> 00:08:21,418 Hujambo, huyu ni Christos Clios, tafadhali niachie ujumbe. 102 00:08:22,140 --> 00:08:25,109 Christos, tafadhali nipigie simu punde utakapopata huu ujumbe. 103 00:08:27,321 --> 00:08:28,763 Hatapokea simu. 104 00:08:29,200 --> 00:08:30,101 Najua. 105 00:08:30,672 --> 00:08:32,040 Inabidi nifanye kitu. 106 00:08:34,680 --> 00:08:36,447 Adam, nilikuona jana usiku. 107 00:08:44,066 --> 00:08:45,351 Unachodhani hakikufanyika. 108 00:08:47,885 --> 00:08:49,104 Umemuuliza? 109 00:08:49,210 --> 00:08:52,579 Wewe ni kakangu mshenzi. Nafaa kuwa kwa upande wako. 110 00:08:56,828 --> 00:08:57,916 Nampenda. 111 00:09:01,364 --> 00:09:02,590 Unampenda? 112 00:09:05,141 --> 00:09:07,312 -Adam, yule ni mama yetu wa kambo. -Asante. 113 00:09:07,312 --> 00:09:10,030 Pole ni vile... kuna mtafaruko. 114 00:09:16,941 --> 00:09:17,848 Adriana? 115 00:09:17,943 --> 00:09:19,638 Ndiyo mama. 116 00:09:19,970 --> 00:09:21,100 Uko sawa? 117 00:09:21,256 --> 00:09:22,499 Ndiyo mama. 118 00:09:22,927 --> 00:09:24,248 Uko wapi? 119 00:09:24,367 --> 00:09:25,234 Kwa Adam. 120 00:09:25,331 --> 00:09:27,225 Na Adam yuko sawa? 121 00:09:27,460 --> 00:09:29,340 -Kuna nini? -Sikiliza. 122 00:09:29,340 --> 00:09:30,946 Msije kwenye villa. 123 00:09:31,044 --> 00:09:32,028 Wewe au Adam. 124 00:09:32,121 --> 00:09:35,683 Wanadhani tuna funguo ambazo babako aliacha. 125 00:09:35,781 --> 00:09:36,910 Akina nani? 126 00:09:36,912 --> 00:09:39,303 Warusi fulani, watu hatari, hilo si muhimu. 127 00:09:39,401 --> 00:09:42,211 Niahidi kuwa hamtakuja hapa. 128 00:09:43,389 --> 00:09:44,390 Sawa. 129 00:09:54,978 --> 00:09:56,003 Halo? 130 00:09:56,140 --> 00:09:58,103 (Tumemletea Bi. Clios kitu.) 131 00:10:06,006 --> 00:10:07,430 ( Tia sahihi hapa tafadhali.) 132 00:10:07,824 --> 00:10:08,737 (Ndiyo.) 133 00:10:12,471 --> 00:10:13,730 (Asante na kwaheri.) 134 00:10:14,601 --> 00:10:15,615 (Kwaheri.) 135 00:10:41,803 --> 00:10:43,270 Inaonyesha imetoka kwa nani? 136 00:10:44,460 --> 00:10:45,883 Si lazima ionyeshe. 137 00:10:46,678 --> 00:10:48,004 Imetoka kwa Litvinov. 138 00:10:49,671 --> 00:10:51,407 "Zhazhda mesti." 139 00:10:53,381 --> 00:10:55,163 Hili ni kuwaonyesha kuwa kuna vita. 140 00:10:59,574 --> 00:11:00,760 32. 141 00:11:01,489 --> 00:11:03,350 Idadi ya meno aliyonayo mtu mzima. 142 00:11:04,611 --> 00:11:07,210 Inamaanisha kuna fursa 31 za kupata ukweli. 143 00:11:08,060 --> 00:11:09,080 Tafadhali. 144 00:11:11,649 --> 00:11:12,655 Tafadhali. 145 00:11:13,442 --> 00:11:15,044 Unajua namna ya kulikomesha hili. 146 00:11:16,944 --> 00:11:18,663 Niambie ufunguo uliko. 147 00:11:21,110 --> 00:11:22,404 Sina ufunguo. 148 00:11:24,594 --> 00:11:25,894 Sina ufunguo. 149 00:11:42,994 --> 00:11:44,000 Niambie. 150 00:11:45,980 --> 00:11:46,832 Niambie. 151 00:11:49,860 --> 00:11:53,917 Sina ufunguo wako! 152 00:11:54,080 --> 00:11:56,030 Sina ufunguo! 153 00:12:02,525 --> 00:12:03,760 Uamuzi ni wako. 154 00:12:07,669 --> 00:12:08,529 Tafadhali. 155 00:12:08,620 --> 00:12:09,498 Uamuzi ni wako. 156 00:12:10,660 --> 00:12:11,662 Tafadhali. 157 00:12:12,938 --> 00:12:13,974 (Mshike kichwani.) 158 00:12:14,150 --> 00:12:15,118 Hapana, hapana, hapana. 159 00:12:15,210 --> 00:12:16,110 Nisikilize. 160 00:12:16,112 --> 00:12:18,134 Nisikilize. Sina ufunguo! 161 00:12:18,518 --> 00:12:19,900 Sina ufunguo. 162 00:12:20,360 --> 00:12:21,282 Tafadhali. 163 00:12:22,454 --> 00:12:24,376 Sina ufunguo tafadhali. 164 00:12:36,285 --> 00:12:38,104 (Kamanda Nadia Dubois.) 165 00:12:39,200 --> 00:12:41,651 (Alikuwa anafanya kazi French General Directorate) 166 00:12:41,654 --> 00:12:42,903 (kama askari miaka sita iliyopita.) 167 00:12:43,700 --> 00:12:46,787 (Inaoneka aliondoka na kuanza kufanya kazi za kibinafsi.) 168 00:12:49,695 --> 00:12:50,900 (Angalia hii.) 169 00:12:54,910 --> 00:12:55,970 (Hiyo ni nini?) 170 00:12:56,220 --> 00:12:57,900 (Traka ya GPS.) 171 00:12:57,900 --> 00:12:59,251 (Ilitengenezwa mjini Voronezh.) 172 00:12:59,251 --> 00:13:03,145 (Alikuwa anawapeleleza majasusi wa taasisi za Urusi.) 173 00:13:03,708 --> 00:13:05,461 (Inaonekana walimsahau.) 174 00:13:06,812 --> 00:13:08,412 (Tumefanyiwa kazi yetu.) 175 00:13:09,865 --> 00:13:10,990 (Kuna jambo lingine.) 176 00:13:12,476 --> 00:13:13,496 (Fatima.) 177 00:13:14,224 --> 00:13:17,280 (Alifaa kutoa ushahidi dhidi ya Negrescu leo.) 178 00:13:17,355 --> 00:13:19,089 (Mtu alijaribu kumuua.) 179 00:13:19,424 --> 00:13:20,806 (Lakini alitoroka.) 180 00:13:23,022 --> 00:13:24,450 (Hii ni habari mbaya.) 181 00:13:25,140 --> 00:13:26,905 (Ingekuwa habari mbaya) 182 00:13:28,460 --> 00:13:30,071 (kama angeuliwa.) 183 00:13:45,029 --> 00:13:46,441 -Robert? -Naam. 184 00:13:46,810 --> 00:13:49,277 Tafadhali mpeleke kwako. 185 00:13:49,554 --> 00:13:50,890 Atakuwa salama huko. 186 00:13:51,380 --> 00:13:52,691 Georgie, unataka kufanya nini? 187 00:13:52,694 --> 00:13:54,408 Ukiikwaruza utakufa sasa hivi. 188 00:14:05,375 --> 00:14:07,669 Fatima, njoo tukupeleke mahali salama. 189 00:14:07,900 --> 00:14:09,387 Unataka tufanye nini haswa? 190 00:14:09,482 --> 00:14:11,106 Hatuna uwezo, cha kuweka rehani, hatuna chochote. 191 00:14:11,202 --> 00:14:12,367 Tutamwambia ukweli. 192 00:14:12,804 --> 00:14:14,393 Tutamwambia kuwa hatuna ufunguo, 193 00:14:14,516 --> 00:14:15,991 na Christos hana. 194 00:14:16,120 --> 00:14:18,443 Halafu uwabembeleze wamwache mwanao akiwa hai. 195 00:14:18,674 --> 00:14:20,207 Uuzungumzie utu wake. 196 00:14:20,776 --> 00:14:23,355 Yule si mtu, ni mnyama. 197 00:14:24,553 --> 00:14:25,920 Na amemchukua Christos. 198 00:14:25,922 --> 00:14:27,135 Hapana, lifikirie. 199 00:14:27,370 --> 00:14:29,476 Hataki kuua mtu. 200 00:14:29,898 --> 00:14:32,142 Na bila shaka hataki Clios afe. 201 00:14:32,540 --> 00:14:33,794 Na anakujua. 202 00:14:34,361 --> 00:14:37,889 Mwendee umuonyeshe heshima 203 00:14:38,644 --> 00:14:39,881 na umrejeshe mwanao. 204 00:15:13,720 --> 00:15:15,437 (Yule msichana yuko hai bado.) 205 00:15:15,738 --> 00:15:17,270 (Alitoroka kutoka kwa kiliniki.) 206 00:15:17,682 --> 00:15:19,785 (Inamaanisha anaweza kutoa ushahidi dhidi yako.) 207 00:15:22,130 --> 00:15:23,410 (Nitalishughulikia.) 208 00:15:24,660 --> 00:15:26,723 (Hili ni tatizo lako sasa.) 209 00:15:29,396 --> 00:15:31,700 (Nilikwambia nitalishighulikia.) 210 00:15:52,726 --> 00:15:54,190 Ulijuaje yuko hapa? 211 00:15:54,192 --> 00:15:55,394 Nilialikwa. 212 00:15:55,703 --> 00:15:59,605 (Harusi kubwa kama hii ikifanyika, lazima nialikwe.) 213 00:15:59,703 --> 00:16:01,522 Hukualikwa kwa harusi yetu. 214 00:16:01,978 --> 00:16:03,111 Ndiyo mpenzi. 215 00:16:04,540 --> 00:16:05,736 Utanifuata? 216 00:16:05,807 --> 00:16:08,702 (Hapana, inabidi yawe mazungumzo ya mzazi kwa mzazi mwingine.) 217 00:16:09,269 --> 00:16:13,617 -Utasema tu kwamba... -Asante. Najua cha kusema. 218 00:16:57,379 --> 00:17:00,910 (Tuwasalimie maharusi kwa makofi.) 219 00:17:01,100 --> 00:17:02,739 (Anna na Dimitri.) 220 00:17:02,900 --> 00:17:07,436 (Tunataka densi ya maharusi.) 221 00:17:52,474 --> 00:17:53,435 Sasha. 222 00:17:53,532 --> 00:17:55,247 Nimefurahi kukuona. 223 00:17:55,411 --> 00:17:57,543 Nilikuwa kwa darasa lako la piano, unakumbuka? 224 00:17:58,124 --> 00:17:59,755 Keki inaonekana nzuri, sivyo? 225 00:18:17,695 --> 00:18:19,430 Nisamehe kwa kuja bila mwaliko. 226 00:18:19,967 --> 00:18:21,319 Una nitakacho? 227 00:18:21,772 --> 00:18:24,265 -Hapana lakini… -Toka nje tafadhali. 228 00:18:25,420 --> 00:18:28,735 Tafadhali Grigory, nimekuja hapa kama mama. 229 00:18:29,210 --> 00:18:30,501 Mwachilie mwanangu. 230 00:18:30,800 --> 00:18:32,935 Hatuwezi kukupa kitu ambacho hatuna. 231 00:18:33,033 --> 00:18:34,851 Laiti ningekuwa nakuamini Bi. Clios. 232 00:18:35,766 --> 00:18:36,857 Sasa tafadhali, 233 00:18:37,405 --> 00:18:39,401 unaharibu harusi ya dadangu. 234 00:18:40,100 --> 00:18:42,147 Christos hajakufanyia chochote. 235 00:18:42,220 --> 00:18:44,529 -Hana hatia. - Mwana wa Clios hana hatia? 236 00:18:45,475 --> 00:18:47,852 Hadi mmoja wenu atakaposema ukweli, 237 00:18:48,598 --> 00:18:52,220 mwanao mpendwa atabeba lawama. 238 00:18:52,815 --> 00:18:56,209 Babako ameniomba nikulinde kwa muda mfupi. 239 00:18:56,415 --> 00:18:59,481 Nadhani watu wazima wataongea sana 240 00:18:59,481 --> 00:19:02,676 na hilo linaudhi. Tuondoke hapa, sivyo? 241 00:19:03,610 --> 00:19:04,815 Na mamangu? 242 00:19:05,220 --> 00:19:08,780 Atakuja kukuchukua baadaye. Sawa? 243 00:19:10,060 --> 00:19:14,244 Sitopenda kuiharibu sherehe nzuri kama hii. 244 00:19:14,298 --> 00:19:19,699 Simulizi za mateso, uhasama na mauaji. 245 00:19:20,348 --> 00:19:22,204 Fyata domo au nikunyamazishe. 246 00:19:22,300 --> 00:19:24,555 (Tanechka, nenda ucheze densi. Hili halikuhusu.) 247 00:19:24,650 --> 00:19:26,070 (Nenda ucheze densi.) 248 00:19:26,071 --> 00:19:27,210 (Ondoka, mwondoe hapa.) 249 00:19:30,177 --> 00:19:31,400 (Unafanya nini?) 250 00:19:39,318 --> 00:19:42,760 (Nisamehe rafiki zangu. Tuendelee kusherehekea.) 251 00:19:42,761 --> 00:19:45,210 (Poleni kwa hilo tukio.) 252 00:19:50,929 --> 00:19:53,189 Umetia sahihi idhini ya kifo chake. 253 00:19:59,674 --> 00:20:00,759 Irina. 254 00:20:00,856 --> 00:20:02,073 Irina. 255 00:20:03,521 --> 00:20:04,991 Irina, ingia garini. 256 00:20:43,964 --> 00:20:45,239 Vipi, una... 257 00:20:50,190 --> 00:20:53,150 Hujambo mtoto, naitwa Robert. 258 00:20:53,414 --> 00:20:54,413 Unaitwa nani? 259 00:20:54,510 --> 00:20:55,513 Sasha. 260 00:20:55,730 --> 00:20:58,633 Sasha... Litvinov? 261 00:21:00,640 --> 00:21:02,775 -Unafanya nini... -Kwa kuwa mmeshajitambulisha, 262 00:21:02,871 --> 00:21:04,100 nitakuacha ulishughulikie. 263 00:21:18,750 --> 00:21:19,785 Mjinga wewe. 264 00:21:24,140 --> 00:21:25,974 (Mtakufa nyote washenzi!) 265 00:21:48,093 --> 00:21:49,174 Ulinitumia. 266 00:21:49,840 --> 00:21:51,204 Ilibidi. 267 00:21:51,270 --> 00:21:53,947 Nilihitaji mtu wa kumsahaulisha, ile mbinu haingefanikiwa. 268 00:21:54,044 --> 00:21:55,343 Kumteka nyara mtoto? 269 00:21:55,651 --> 00:21:58,120 Hii ni dhila, hata kwako. 270 00:21:58,280 --> 00:22:00,845 Si mtoto, ni chombo cha kutumia ili kujadiliana. 271 00:22:00,897 --> 00:22:02,549 Hatuwezi kufanikiwa asipokuwepo. 272 00:22:02,609 --> 00:22:04,930 Ni vile huelewi kuwa umefanya hali kuwa mbaya zaidi. 273 00:22:05,900 --> 00:22:08,144 -Atamuua Christos. -Hapana. Hatamuua. 274 00:22:08,700 --> 00:22:12,468 Anachohitaji ni kumwona mwanawe akiwa mzima kwa gharama yoyote. 275 00:22:12,562 --> 00:22:14,900 Ikiwa hiyo gharama ni kumwachilia Christos atafanya hivyo. 276 00:22:15,390 --> 00:22:19,063 Na kitu muhimu unachofaa kukumbuka ni kuwa hatukulianzisha hili. 277 00:22:19,098 --> 00:22:20,287 Litvinov alilianzisha. 278 00:22:20,423 --> 00:22:22,135 Tunachofanya sisi ni kumjibu 279 00:22:22,233 --> 00:22:25,818 kwa lugha ambayo mwenye kichaa kama yeye anaweza kuelewa. 280 00:22:26,318 --> 00:22:27,502 Jicho kwa jicho. 281 00:22:28,050 --> 00:22:29,904 Au jino kwa jino. 282 00:22:46,521 --> 00:22:47,470 Ndiyo. 283 00:22:47,470 --> 00:22:49,969 Nilikuuliza kwa upole na kwa nia njema. 284 00:22:50,440 --> 00:22:53,156 Ulikataa ombi langu na dadako akaniita bitch. 285 00:22:53,468 --> 00:22:55,595 Siulizi kwa upole tena. 286 00:22:56,198 --> 00:22:58,758 Mlete Christos katika uwanja wa soka leo usiku. 287 00:22:58,851 --> 00:23:01,760 Dakika 15 kabla ya mchezo kuanza na utampata mwanao. 288 00:23:02,211 --> 00:23:06,650 Muumize Christos tena, fanya jambo lolote la kishenzi, nifanyie ujinga wowote, 289 00:23:07,007 --> 00:23:09,590 na utaona jinsi ninavyoweza kuwa mnyama. 290 00:23:21,327 --> 00:23:23,442 Yeye ndiye mtu wa kwanza 291 00:23:24,650 --> 00:23:26,268 kunifanya nijihisi kuwa 292 00:23:27,554 --> 00:23:29,385 nina thamani. 293 00:23:30,220 --> 00:23:31,926 Najua ni jambo la kijinga. 294 00:23:33,468 --> 00:23:34,914 Hapana, naelewa. 295 00:23:38,454 --> 00:23:40,309 Hilo limeisha sasa. 296 00:23:42,304 --> 00:23:43,874 Na unajua ninayemlaumu? 297 00:23:46,683 --> 00:23:47,767 Baba. 298 00:23:49,600 --> 00:23:51,387 Alikuwa wa kwanza kufika huko. 299 00:23:51,483 --> 00:23:53,785 Kwa sababu alifanikiwa kila mara. 300 00:23:54,037 --> 00:23:55,349 Chochote alichotaka. 301 00:23:57,208 --> 00:23:58,955 Alikipata. 302 00:23:59,427 --> 00:24:00,820 Hata yeye. 303 00:24:04,272 --> 00:24:09,180 Alipochoshwa na mpenzi, alimwacha na kutafuta mwingine. 304 00:24:09,792 --> 00:24:11,984 Alichokikwamilia ni sisi tu. 305 00:24:12,082 --> 00:24:13,671 Usiseme hivyo. 306 00:24:14,957 --> 00:24:17,556 Hakuwa baba mzuri lakini 307 00:24:19,173 --> 00:24:20,267 alitupenda. 308 00:24:21,120 --> 00:24:22,696 Naamini alitupenda. 309 00:24:23,280 --> 00:24:24,804 Bila shaka unaamini. 310 00:24:26,425 --> 00:24:29,902 Mimi ndiye nilikuwa balaa kuu kwake. 311 00:24:31,390 --> 00:24:34,633 Huwezi kuwaacha watoto wako kwa sababu ya mwanamitindo mpya. 312 00:24:35,730 --> 00:24:37,249 Umelewa. 313 00:24:39,210 --> 00:24:42,270 Ndicho hiki chakula cha mpishi leo. 314 00:24:42,557 --> 00:24:43,627 Nashukuru ila sitakula. 315 00:24:43,721 --> 00:24:47,104 Kutakuwa na watu elfu 30 kwa hivyo tutakuwa na mashahidi wengi, 316 00:24:47,200 --> 00:24:49,340 na watu hawaruhusiwi kuwa na silaha katika uwanja wa michezo, 317 00:24:49,340 --> 00:24:51,234 kwa hivyo tutakuwa sawa. 318 00:24:51,331 --> 00:24:53,365 -Ndicho hiki chako. -Sipendi chizi. 319 00:24:53,461 --> 00:24:55,461 Unaishi Ufaransa, unawezaje kutopenda chizi? 320 00:24:58,095 --> 00:24:59,270 Ni sawa. -Hapana. 321 00:24:59,347 --> 00:25:02,624 Hutaondoka mezani kabla ya kumaliza hiki chakula. 322 00:25:02,722 --> 00:25:03,780 Umesikia? 323 00:25:05,070 --> 00:25:06,025 Ha? 324 00:25:06,840 --> 00:25:07,858 Vizuri! 325 00:25:10,811 --> 00:25:11,831 Kifurahie chakula. 326 00:25:15,180 --> 00:25:16,376 Na mimi ndiye naitwa bitch? 327 00:25:29,430 --> 00:25:30,884 Adam, unafanya nini? 328 00:25:34,274 --> 00:25:36,460 Nilikuwa nashangaa mbona ulikuwa unajikata. 329 00:25:37,161 --> 00:25:40,522 Unahisi uchungu kwa muda mfupi halafu uchungu wote unaisha. 330 00:25:40,620 --> 00:25:41,740 Keti. 331 00:25:46,640 --> 00:25:48,622 Unaujua mkasa halisi? 332 00:25:49,230 --> 00:25:52,875 Nilichotaka ni baba kunichukulia kama mwanawe. 333 00:25:53,816 --> 00:25:56,392 Badala ya hilo, alinichukulia kama mtumwa. 334 00:25:59,060 --> 00:26:01,349 Alichoniambia mara ya mwisho ni, 335 00:26:04,830 --> 00:26:06,508 "Nilindie huu ufunguo." 336 00:26:09,680 --> 00:26:11,295 Na bado uko nao? 337 00:26:12,162 --> 00:26:14,451 Ndicho kitu cha mwisho alichonipa. 338 00:26:22,678 --> 00:26:24,460 Siwezi kuutupa. 339 00:26:29,760 --> 00:26:32,412 Anaonekana kama Mchawi Mwovu wa Magharibi, sivyo? 340 00:26:32,843 --> 00:26:34,350 Namchukia. 341 00:26:35,790 --> 00:26:38,836 Nimemjua Georgie kwa miaka mingi zaidi ya uliyoishi. 342 00:26:39,450 --> 00:26:42,423 Kwa hivyo namjua vizuri na kikweli, 343 00:26:42,644 --> 00:26:45,098 nadhani hafanani na Mchawi Mwovu. 344 00:26:45,940 --> 00:26:49,096 Nadhani anafanana na Tin Man. 345 00:26:49,743 --> 00:26:51,240 -Kweli? -Ndiyo. 346 00:26:51,610 --> 00:26:53,394 Lakini hataki kuonekana hivyo, 347 00:26:53,673 --> 00:26:56,092 anataka kuwa mwema kama Tin Man. 348 00:26:56,142 --> 00:26:57,513 Nini kiliufanyikia moyo wake? 349 00:26:59,270 --> 00:27:04,720 Mwanamume mbaya aliuchukua na kuuvunja, 350 00:27:05,340 --> 00:27:09,625 na sasa anafanya mambo na kusema vitu ambavyo hanuii. 351 00:27:10,445 --> 00:27:11,750 Kama alivyokufanyia leo usiku. 352 00:27:11,925 --> 00:27:12,976 Unaona? 353 00:27:13,020 --> 00:27:14,523 Huwezi kuurudisha? 354 00:27:16,310 --> 00:27:17,930 Ningekuwa na uwezo, ningeurudisha. 355 00:27:27,689 --> 00:27:28,763 Kunywa. 356 00:27:42,180 --> 00:27:43,063 Georgie? 357 00:27:43,220 --> 00:27:45,156 Oh, asante. 358 00:27:50,423 --> 00:27:53,390 Unakumbuka mara ya kwanza uliponipata katika Taasisi? 359 00:27:53,765 --> 00:27:54,830 Naam. 360 00:27:56,367 --> 00:27:58,337 Nakumbuka nilikutazama nikajiambia, 361 00:27:58,585 --> 00:28:02,789 "Yule msichana anaonekana kuwa na uoga kama mimi." 362 00:28:03,020 --> 00:28:04,471 Nilikuwa na uoga. 363 00:28:05,485 --> 00:28:08,674 Nakumbuka nikiingia kwenye lile jumba zee, 364 00:28:08,771 --> 00:28:13,020 huku historia imenikodolea macho nikihisi kuwa mdanganyifu. 365 00:28:13,065 --> 00:28:16,025 Nadhani kila mtu alijihisi mdanganyifu kwa kuwa pale. 366 00:28:16,121 --> 00:28:17,210 Hapana. 367 00:28:17,273 --> 00:28:18,931 Sikufaa kuwa pale. 368 00:28:20,782 --> 00:28:22,200 Sifai kuwa hapa. 369 00:28:23,430 --> 00:28:26,330 Nilikuwa nikidhani kuwa maisha ya hawa watu ni bora kuliko yangu 370 00:28:27,191 --> 00:28:30,745 kwa sababu walikuwa na... nini? 371 00:28:32,080 --> 00:28:34,480 Ningepata asilimia ndogo ya walichokuwa nacho, 372 00:28:35,068 --> 00:28:37,407 kingenipa hadhi, sivyo? 373 00:28:38,575 --> 00:28:39,720 Huo ni ujinga. 374 00:28:41,350 --> 00:28:43,029 Ona nilivyobadilishwa. 375 00:28:46,609 --> 00:28:49,055 Mbona bado uko hapa Robert? 376 00:28:50,689 --> 00:28:52,205 Niruhusu nikwambie kitu, ningekuwa wewe, 377 00:28:52,300 --> 00:28:54,960 singetaka kuwa karibu na mtu kama mimi sasa hivi. 378 00:28:56,092 --> 00:28:59,109 Niko hapa kwa sababu ya yule msichana niliyempata siku ya kwanza. 379 00:28:59,980 --> 00:29:02,067 Ambaye nadhani ndiye uliye. 380 00:29:03,180 --> 00:29:04,888 Mimi si yule msichana tena. 381 00:29:09,963 --> 00:29:11,779 Nina hasira 382 00:29:14,255 --> 00:29:18,525 na nina hofu kuwa haitaisha. 383 00:29:22,610 --> 00:29:24,265 Sitaki kuwa hivi. 384 00:29:25,974 --> 00:29:27,714 Basi acha kuwa hivi. 385 00:29:54,750 --> 00:29:55,789 Sasha? 386 00:29:56,851 --> 00:29:57,857 Sasha? 387 00:29:59,094 --> 00:30:00,116 Nisamehe. 388 00:30:01,330 --> 00:30:02,499 Naomba msamaha. 389 00:30:05,423 --> 00:30:06,789 Njoo tukupeleke nyumbani, sawa? 390 00:30:07,680 --> 00:30:08,735 Njoo. 391 00:30:32,456 --> 00:30:34,694 Nataka uukumbuke wakati huu. 392 00:30:36,268 --> 00:30:37,510 Nitazame. 393 00:30:39,262 --> 00:30:40,490 Nitazame. 394 00:30:53,805 --> 00:30:54,980 (Muinue.) 395 00:30:55,852 --> 00:30:57,654 (Ona mtakavyoshughulikia hiyo damu.) 396 00:31:11,160 --> 00:31:13,989 Sawa, njoo tukupeleke... 397 00:31:16,847 --> 00:31:17,994 -utaweza kuufunga? -Ndiyo. 398 00:31:19,617 --> 00:31:20,770 Vizuri. 399 00:31:22,430 --> 00:31:24,322 Mtamrejesha Christos, sivyo? 400 00:31:24,843 --> 00:31:26,425 Tutamleta, usiwe na shaka. 401 00:32:21,790 --> 00:32:24,566 Msimwache aende hadi tutakapomwona Christos. 402 00:32:25,074 --> 00:32:26,260 -Sawa? -Ndiyo. 403 00:32:46,257 --> 00:32:47,296 Mwanangu yuko wapi? 404 00:32:49,253 --> 00:32:50,555 Mwanangu yuko wapi? 405 00:32:57,476 --> 00:32:58,610 Sasha yukoje? 406 00:32:58,950 --> 00:33:00,579 Hali yake ni nzuri kuliko ya Christos. 407 00:33:28,258 --> 00:33:29,356 Mungu wangu! 408 00:33:30,423 --> 00:33:32,070 (Njoo bingwa wangu.) 409 00:33:35,383 --> 00:33:36,590 Niko hapa kipenzi. 410 00:33:36,804 --> 00:33:37,830 Jikaze. 411 00:33:40,300 --> 00:33:41,249 Subiri. 412 00:33:45,152 --> 00:33:46,886 Kifaa nilichokupa ni ghushi. 413 00:33:49,137 --> 00:33:51,810 Na mwanamume aliyenacho sasa 414 00:33:53,572 --> 00:33:56,346 anawafanyia kazi watu fulani katika serikali ya Urusi. 415 00:33:57,487 --> 00:33:59,597 Watadhani uliwadanganya. 416 00:34:00,722 --> 00:34:04,045 Unasemaje? 417 00:34:05,125 --> 00:34:06,176 Mchezo umeisha. 418 00:34:09,690 --> 00:34:14,203 Niletee huo ufunguo nisuluhishe hilo. 419 00:34:16,440 --> 00:34:17,487 Niletee huo ufunguo. 420 00:34:27,338 --> 00:34:29,270 (Unaweza kuifanyia hii faili utafiti?) 421 00:34:29,850 --> 00:34:31,650 -(Kamishna?) -(Naam.) 422 00:34:31,651 --> 00:34:33,420 (Naweza kukuona afisini mwangu tafadhali?) 423 00:34:34,615 --> 00:34:35,644 (Nakuja.) 424 00:35:02,324 --> 00:35:04,780 (Hujui nilivyomshughulikia kwa uangalifu) 425 00:35:05,435 --> 00:35:07,388 (Kumfanya aniamini, kumfanya animbie mambo) 426 00:35:08,389 --> 00:35:10,326 (na sasa unatatiza hayo yote.) 427 00:35:11,109 --> 00:35:13,589 (Ni wewe pekee uliyejua alikojificha Fatima.) 428 00:35:24,095 --> 00:35:25,775 (Unataka kazi yangu, sivyo?) 429 00:35:28,050 --> 00:35:31,465 (Sina haja na kazi yako.) 430 00:35:33,526 --> 00:35:37,355 (Negrescu alijaribu kumuua shahidi wangu. Alimuua dadake.) 431 00:35:37,483 --> 00:35:38,568 (Mke wangu.) 432 00:35:38,661 --> 00:35:40,659 (Alikuwa karibu kufa kwa sababu yake.) 433 00:35:41,260 --> 00:35:43,747 (Namtaka Negrescu, na wewe) 434 00:35:44,345 --> 00:35:45,587 (utanisaidia.) 435 00:35:59,429 --> 00:36:02,408 Nadhani siwezi kuongea na mama. 436 00:36:09,375 --> 00:36:11,264 Nini kilifanyika? Mlipata ufunguo? 437 00:36:11,362 --> 00:36:12,367 Christos ameumia. 438 00:36:12,460 --> 00:36:14,377 Georgina anatupeleka hospitalini sasa hivi. 439 00:36:14,471 --> 00:36:16,235 Nini? Yuko sawa? 440 00:36:16,724 --> 00:36:17,820 Atakuwa sawa. 441 00:36:17,920 --> 00:36:19,204 Njoo huku kipenzi. 442 00:36:19,370 --> 00:36:20,257 Nyote. 443 00:36:20,393 --> 00:36:22,495 Naita taksi. 444 00:36:22,778 --> 00:36:25,236 Ufunguo upi? 445 00:36:25,641 --> 00:36:28,408 Hapo awali alisema wanahitaji ufunguo. 446 00:36:28,880 --> 00:36:30,276 Wa baba? 447 00:36:30,689 --> 00:36:31,627 Sijui. 448 00:36:31,721 --> 00:36:32,760 Labda. 449 00:36:38,360 --> 00:36:39,314 Ni nini? 450 00:36:45,150 --> 00:36:46,520 Mpe Georgina. 451 00:36:49,654 --> 00:36:50,998 Mwambie anisamehe. 452 00:37:13,280 --> 00:37:14,258 Kakako yuko wapi? 453 00:37:14,352 --> 00:37:15,400 Haji. 454 00:37:17,700 --> 00:37:19,094 Naweza kwenda nikamuone Christos? 455 00:37:19,094 --> 00:37:20,165 Ndiyo, bila shaka kipenzi. 456 00:37:20,261 --> 00:37:21,215 Nenda. 457 00:37:30,940 --> 00:37:33,158 Anaoneka vibaya zaidi ya alivyoumia. 458 00:37:47,405 --> 00:37:48,452 Georgina. 459 00:37:48,950 --> 00:37:50,021 Naam. 460 00:37:52,775 --> 00:37:53,817 Asante. 461 00:38:26,884 --> 00:38:28,784 (Mara mbili kwa siku?) 462 00:38:30,518 --> 00:38:32,265 (Ninapata heshima hii kwa nini?) 463 00:38:35,127 --> 00:38:36,193 (Nimeifanya kazi.) 464 00:38:37,004 --> 00:38:38,696 (Nimempata msichana uliyekuwa ukimtafuta.) 465 00:38:44,618 --> 00:38:45,917 (Ni huyu, sivyo?) 466 00:38:53,041 --> 00:38:54,116 (Msichana yupi?) 467 00:38:54,881 --> 00:38:56,178 (Msichana uliyekuwa ukimtafuta.) 468 00:38:58,880 --> 00:39:00,443 (Kuna jambo ninalojiuliza.) 469 00:39:03,152 --> 00:39:07,530 (Umemhusisha yeyote katika uchunguzi wetu?) 470 00:39:07,530 --> 00:39:08,530 (Hapana.) 471 00:39:08,845 --> 00:39:11,152 (Najua kuwa hili lilikuwa baina yetu.) 472 00:39:11,641 --> 00:39:12,524 (Ndiyo.) 473 00:39:13,290 --> 00:39:15,215 (Nilijua hivyo pia.) 474 00:39:17,350 --> 00:39:18,393 (Vizuri.) 475 00:39:18,990 --> 00:39:20,110 (Njoo.) 476 00:39:22,120 --> 00:39:23,937 (Nina kitu cha kukupa.) 477 00:39:36,690 --> 00:39:37,743 Jamani, upuzi huu! 478 00:39:50,440 --> 00:39:53,499 -(Iweke bunduki yako chini.) -(Niko sawa, niko sawa.) 479 00:39:53,590 --> 00:39:54,512 (Niko sawa.) 480 00:39:54,929 --> 00:39:55,952 (Uko sawa?) 481 00:40:04,028 --> 00:40:05,342 (Huku ni kufumaniwa!) 482 00:40:25,420 --> 00:40:26,525 (Wewe.) 483 00:40:26,869 --> 00:40:29,350 (Hakuna kitu ninachokidharau kama panya.) 484 00:40:32,062 --> 00:40:34,140 (Lakini usipowashughulikia,) 485 00:40:35,827 --> 00:40:38,116 (wanaweza kuwa tatizo upesi sana.) 486 00:40:40,846 --> 00:40:42,341 (Usiku mwema wangwana. 487 00:40:48,340 --> 00:40:50,045 (Usiku mwema mshenzi.) 488 00:40:57,078 --> 00:40:58,090 Fatima? 489 00:41:10,925 --> 00:41:12,947 Unajua alikuwa anakupenda. 490 00:41:13,630 --> 00:41:14,650 Nani? 491 00:41:14,650 --> 00:41:15,948 Constantine. 492 00:41:18,045 --> 00:41:19,129 Ni mimi. 493 00:41:19,638 --> 00:41:22,030 Mimi ndiye nilifanya tukakosa kuongea kwa muda mrefu. 494 00:41:22,080 --> 00:41:24,960 -Georgie, si lazima ujieleze... -Acha nimalize. 495 00:41:25,470 --> 00:41:27,418 Nilidhani sikuhitaji. 496 00:41:28,164 --> 00:41:30,968 Nilidhani sikuyahitaji maisha yangu ya kale. 497 00:41:31,363 --> 00:41:32,367 Pole. 498 00:41:32,605 --> 00:41:34,707 -Nilidhani... -Ni sawa. 499 00:41:36,043 --> 00:41:37,160 Tuko sawa. 500 00:41:38,763 --> 00:41:41,926 Georgie, karibu nisahau. Nina kitu cha kukupa. 501 00:41:42,114 --> 00:41:43,280 Kutoka kwa Adam. 502 00:41:43,280 --> 00:41:44,817 -Kutoka kwa Adam? -Ndiyo. 503 00:41:46,825 --> 00:41:48,740 Anadhani huenda huu ndio ufunguo unaotafuta. 504 00:41:53,210 --> 00:41:54,605 Siamini. 505 00:41:54,780 --> 00:41:56,384 Baada ya muda huu wote, Adam? 506 00:41:56,482 --> 00:41:58,609 Labda utaweza kukomesha hili. 507 00:42:00,136 --> 00:42:01,889 Unakumbuka ulikoegesha gari langu? 508 00:42:01,970 --> 00:42:04,023 Sikumbuki vizuri. 509 00:42:04,150 --> 00:42:05,414 Hizo ni dalili za uzee. 510 00:42:05,800 --> 00:42:07,587 Nitakuonyesha kuwa mimi bado ni mchanga. 511 00:42:08,341 --> 00:42:09,418 Nitaitafuta huku. 512 00:42:17,709 --> 00:42:18,627 Georgie. 513 00:42:18,720 --> 00:42:19,810 Kuna nini?